Event

Join the Digital Ambassador Program

summary

Pollicy is now accepting applications for the Digital Ambassador Programme from university students in Uganda and Tanzania.

Pollicy has conceptualised the Digital Ambassador Program with the purpose of complementing government efforts in Tanzania and Uganda to realise a digital future in alignment with their development visions of 2025 and 2040 respectively as well as the sustainable development goal number 4 which calls for inclusive and equitable quality education.

Pollicy believes that the digital transformation is not a one-time journey or success. It requires efforts and commitments, therefore, we need to capture the young generation to enter into digital and tech- related careers.

Through this form, we are collecting the information for those interested in participating in the program. To help us with the next steps, we will be happy to receive some information and interests from you so that we can plan accordingly.

Deadline for application is Wednesday June 16th, 2022.

Swahili version

Shirika la Pollicy sasa linapokea maombi ya  kujiunga na Programu ya Mabalozi wa Kidijitali kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Uganda na Tanzania.

Pollicy inatekeleza Programu ya Mabalozi wa Kidijitali kwa madhumuni ya kuongeza katika juhudi ambazo
zimewekwa na serikali za Tanzania na Uganda kufikia mustakabali wa kidijitali kulingana na mipango mikakati  yao ya maendeleo ya 2025 na 2040  pamoja na lengo namba 4 la Elimu Bora katika Malengo Endelevu.

Pollicy inaamini kuwa mabadiliko ya kidijitali si safari ya mara moja au mafanikio. Inahitaji juhudi na ahadi, kwa hivyo, tunahitaji kukamata kizazi kipya ili kuingia katika taaluma za kidijitali na zinazohusiana na teknolojia.

Kupitia fomu hii tunapokea maombi kwa wale wanaopenda kushiriki katika programu kama mabalozi wa kidijitali Ili kutusaidia na hatua zinazofuata tutafurahi kupokea taarifa na mambo yanayokuvutia kutoka kwako ili tuweze kufahamu zaidi juu ya mabalozi hawa na kuweza kuwajengea uwezo zaidi.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe Jumatano 16 Juni 2022.

 

APPLY HERE!! (Closed – Application will open in future for our next cohort)